Ukiona 70% ya maneno unayosifiwa unasifiwa hiyo fat booty stuka,wakati mwingine unajua huna hata kubwa kakazania kusifia hapo hapo....unapotezea mda anarudi hapo hapo kusifia hapo tu,...tuwe wazi bhana Mimi nikisifia kitu naipenda nikitumie,kwahiyo ukiruhusu mazingira ya kusifiwa booty jua tu utaachia siku moja.