jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 159
Nahisi kama ameshakueleza lake la rohoni,ilobakia ni wewe kusuka au kunyoa, au kwa ufupi anamanisha ameshakushiba,
la unataka uhakika zaidi kaa kimnya usimpigie wala sms usimtumia uone jee atakutafuta...
ameshatumia dawa nying lakin hazijamsaidiaMtafutie tiba ya ulcers akishapona ndio utathibitisha kama ndio ilikuwa sababu ya ukali wake.
.....ulcer haziusiani na hasira...ila hasira za mara kwa mara(stress) inaweza kuchangia mtu kupata ulcer....huyo hakupendi wala hakuheshimu...especialya anavyorahisisha kuachana hivyohabarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..

some time wanaume tunatakiwa tuchukue uamuzi mgum la sivyo kuna siku atakuambia ulale chini au atakuletea jamaa ndani. endelea na upunga wako uone mwisho wake
mpige chini papuchi zipo tu.