Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,892 Dec 8, 2013 #2 Ni mzizi wa mti gani?
N Nyrum Senior Member Aug 11, 2013 124 41 Dec 8, 2013 #3 Yec naijua hyo dawa, ni ya asili ya korea. Imetengenezwa ktk tablets. Ni nzur sana kwa ubongo. Inapatkana ktk kampuni inaitwa Greenworld. Uktaka zaid niPM. Karibu,
Yec naijua hyo dawa, ni ya asili ya korea. Imetengenezwa ktk tablets. Ni nzur sana kwa ubongo. Inapatkana ktk kampuni inaitwa Greenworld. Uktaka zaid niPM. Karibu,
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 10, 2013 #4 Unatatizo la kusahau mbona hiyo dawa unaikumbuka?