K Kigundu Member Joined Jul 28, 2015 Posts 79 Reaction score 24 Sep 14, 2015 #1 Mwenye uelewa wa mji huu anieleze gharama za maisha na hali halisi ya mji huo
MzungukoMnangani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 303 Reaction score 82 Sep 14, 2015 #2 We nenda tu kaanze maisha mkuu hayo mengine utakabiriana nayo hukohuko
M maskio popo Senior Member Joined Sep 3, 2015 Posts 158 Reaction score 31 Sep 14, 2015 #3 watakutisha tu mkuu we nenda utayakuta hukohuko woga wanini sasa
J Joel cole Member Joined Jan 1, 2014 Posts 42 Reaction score 5 Sep 14, 2015 #4 Kigundu said: Mwenye uelewa wa mji huu anieleze gharama za maisha na hali halisi ya mji huo Click to expand... ni pm ,ndugu yangu tubonge zaidi karibu katika kisiwa cha amani wafipa ni wakalimu sana.mimi mwenyewe mgeni huu mwaka wa nne na maisha yanaenda
Kigundu said: Mwenye uelewa wa mji huu anieleze gharama za maisha na hali halisi ya mji huo Click to expand... ni pm ,ndugu yangu tubonge zaidi karibu katika kisiwa cha amani wafipa ni wakalimu sana.mimi mwenyewe mgeni huu mwaka wa nne na maisha yanaenda
S simba7 Member Joined Sep 16, 2014 Posts 32 Reaction score 8 Sep 14, 2015 #5 Pigs moyo konde ingia swax
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Sep 14, 2015 #6 Maisha mazuri, gharama za vyakula sio kubwa sana kuna mahindi kwa wingi na samaki wengi, nenda tu hutajuta.
Maisha mazuri, gharama za vyakula sio kubwa sana kuna mahindi kwa wingi na samaki wengi, nenda tu hutajuta.
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Sep 15, 2015 #7 niko hapa katandala mitaa ya mkoani opposite na mahakama kuu kwa anayeanza maisha huu mkoa uko poa
dimitr Member Joined Aug 15, 2015 Posts 11 Reaction score 3 Sep 15, 2015 #8 nimetoka swanga last week kupo poa hata mimi before nilidhani kupo ovyo la hasha mji uko vizur mitaa imepangika vizur sana zaid ya tanga ila kwa wale wajasiria mali kama mimi ni mkoa wa kutoka utajir njenje nakushauri nenda na plan ya uwekezaji
nimetoka swanga last week kupo poa hata mimi before nilidhani kupo ovyo la hasha mji uko vizur mitaa imepangika vizur sana zaid ya tanga ila kwa wale wajasiria mali kama mimi ni mkoa wa kutoka utajir njenje nakushauri nenda na plan ya uwekezaji
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,415 Reaction score 24,194 Sep 15, 2015 #9 Pesa nje nje Kama sio mvivu
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,063 Reaction score 16,595 Sep 15, 2015 #10 kulogwa nje nje
kiwaki JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 299 Reaction score 522 Sep 16, 2015 #11 Kama unapenda kutoka kupiga moja moto moja baridi usisahau kwenda marafiki lounge. .nadhani ndio kali kwa pale mjini
Kama unapenda kutoka kupiga moja moto moja baridi usisahau kwenda marafiki lounge. .nadhani ndio kali kwa pale mjini