Msimbeze mtoa mada kwa sasa mabank yanatapa tapa baada ya mchezo mchafu uliojitokeza wa kuvamia acc za watu na kuchota hela au watu kuitwa kutoa maelezo juu ya hela zao.KUFREEZE,WAZEE WA TRA kuvamia accounts zao umepelekea watu kutorosha hela zao kwenda nje ya nchi na wengine kuficha majumbani.KWA MBALI NAIONA ZIMBABWE ILEEEE