Varbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,124 Reaction score 895 Dec 24, 2016 #1 Wana-JamiiForums, awali ya yote Heri ya Christmas na mwaka mpya. Naomba kujuzwa gharama ya kutembelea mbugani Serengeti ikiwa ni pamoja na hotel. Lengo niipeleke family yangu huko atleast kwa siku tatu!! Natanguliza shukrani...
Wana-JamiiForums, awali ya yote Heri ya Christmas na mwaka mpya. Naomba kujuzwa gharama ya kutembelea mbugani Serengeti ikiwa ni pamoja na hotel. Lengo niipeleke family yangu huko atleast kwa siku tatu!! Natanguliza shukrani...
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,802 Dec 24, 2016 #2 Ngorongoro Serena Safari Lodge Kwa mtu mmoja ni $ 456 Tangia jana usiku tulifika huku leo asubuhi hadi mchana tulikuwa huku porini tunawinda! Na kibali sijui raia wa kawaida wanaingiaje Karibu hapa Serena Safari tunashushia cattle na serengeti
Ngorongoro Serena Safari Lodge Kwa mtu mmoja ni $ 456 Tangia jana usiku tulifika huku leo asubuhi hadi mchana tulikuwa huku porini tunawinda! Na kibali sijui raia wa kawaida wanaingiaje Karibu hapa Serena Safari tunashushia cattle na serengeti
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,522 Dec 24, 2016 #3 Jambazi said: Ngorongoro Serena Safari Lodge Kwa mtu mmoja ni $ 456 Tangia jana usiku tulifika huku leo asubuhi hadi mchana tulikuwa huku porini tunawinda! Na kibali sijui raia wa kawaida wanaingiaje Karibu hapa Serena Safari tunashushia cattle na serengeti Click to expand... Hiyo bei ni 3days 2 nights kama akuvyotaka mleta uzi? Na ina include nini?
Jambazi said: Ngorongoro Serena Safari Lodge Kwa mtu mmoja ni $ 456 Tangia jana usiku tulifika huku leo asubuhi hadi mchana tulikuwa huku porini tunawinda! Na kibali sijui raia wa kawaida wanaingiaje Karibu hapa Serena Safari tunashushia cattle na serengeti Click to expand... Hiyo bei ni 3days 2 nights kama akuvyotaka mleta uzi? Na ina include nini?
Mateja M.G Yango JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 613 Reaction score 1,097 Dec 24, 2016 #4 Watoto wako wakubwa kiasi gani? Ni wa kulala nao chumba kimoja?
enockino JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 273 Reaction score 171 Dec 24, 2016 #5 serengeti.tourism@tanzaniaparks.go.tz
enockino JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 273 Reaction score 171 Dec 24, 2016 #6 Wasiliana nao kwa email hii kuepuka kutapeliwa serengeti.tourism@tanzaniaparks.go.tz
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,802 Dec 24, 2016 #7 124 Ali said: Hiyo bei ni 3days 2 nights kama akuvyotaka mleta uzi? Na ina include nini? Click to expand... +255272545530
124 Ali said: Hiyo bei ni 3days 2 nights kama akuvyotaka mleta uzi? Na ina include nini? Click to expand... +255272545530
Inconvenient Truths JF-Expert Member Joined Oct 21, 2014 Posts 439 Reaction score 354 Dec 24, 2016 #8 Being kwa Tshillings kiasi gani?
makufuli JF-Expert Member Joined Jun 18, 2016 Posts 425 Reaction score 253 May 16, 2018 #9 Habari wakuu,nahitaji kufahamu taratibu kwa maana ya gharama za malazi,chakula na kutembezwa mbugani katika hifadhi yetu ya Serengeti national park kwa wale ambao wamefanikiwa kutembelea,ili nifanye budget ya mimi pia kutembelea. Asante
Habari wakuu,nahitaji kufahamu taratibu kwa maana ya gharama za malazi,chakula na kutembezwa mbugani katika hifadhi yetu ya Serengeti national park kwa wale ambao wamefanikiwa kutembelea,ili nifanye budget ya mimi pia kutembelea. Asante
sky walker JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 1,160 Reaction score 834 May 16, 2018 #10 ingia you tube andika serengeti download video ya lisaa limoja angalia wanyama wote bila wasi, maana najua ukenda uko lazima uliwe na simba
ingia you tube andika serengeti download video ya lisaa limoja angalia wanyama wote bila wasi, maana najua ukenda uko lazima uliwe na simba
Francis3 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 462 Reaction score 1,630 May 16, 2018 #11 sky walker said: ingia you tube andika serengeti download video ya lisaa limoja angalia wanyama wote bila wasi, maana najua ukenda uko lazima uliwe na simba Click to expand... wew ni nabii?
sky walker said: ingia you tube andika serengeti download video ya lisaa limoja angalia wanyama wote bila wasi, maana najua ukenda uko lazima uliwe na simba Click to expand... wew ni nabii?