Gharama za kuchimba (drilling) maji

Gharama za kuchimba (drilling) maji

Kisumbo

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
52
Reaction score
12
Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa gharama za kuchimba (drilling) maji maeneo ya Goba ni bei gani na chance ya kupata Maji yasiyo na chumvi ipo?

Naomba wataalam wanisaidie
 
kuna thread zao nyingi sana humu za hao wachimbaji,nenda kwenye jukwaa la MATANGAZO MADOGO MADOGO.pia kuna jamaa wapo katikati ya jengo la mawasiliano na ubungo sheli,ukiangalia vizuri maeneo hayo utaweza ona mabango yao.
 
kweli kabisa atafute tena wameweka mpaka namba zao WAULIZE WATAPIMA THEN MTAELEWANA MAJI YAPO UMBALI GANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom