Mzee wa kismati hosteli inategemea umepangwa shule gani, ila nakushauri ripoti kwanza shule uliyopangwa headmaster atakusaidia kutafuta hostel au kukupatia chumba kulingana na uwezo wa shule husika. Kama upo sekta nyingine tofauti na elimu ripoti kwanza kituo cha kazi utapata maelekezo..