akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
laki nane kwa masaa nane mafuta ni juu yako posho ya opareta ni juu yako na gharama ya kuupeleka na kuurudisha mtambo ni juu yako.
Tooba kumbe yanalipaee
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio hukuti mtu anamiliki ovyo kama mnavyomiliki starlet!
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio hukuti mtu anamiliki ovyo kama mnavyomiliki starlet!
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet!
yote haya umejibu wewe...kwani starlet siyo gari!!mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet! kwa njinsi navyojua wanacharge kila saa 1 sh laki moja so ukikodi masaa 12 unatoa m1.2!!!
Tooba kumbe yanalipaee
Ati nini.., hiyo gharama ni ndogo sana.., lile dude likiharibika inaweza ikaku-cost hata million 40 kulitengeneza.., we nenda caterpillar kaulize bei ya gearbox mpya ya grader high calliber ya tonne 40..., utajiharishia nakwambia.., si yalitukuta tulitaka ardhi ipasuke tudumbukie..., yaani acha kabisa..., kwanza mi siwezi kukukodishia bila m2 kwa siku.., hutaki kanye mbele huko..!