joyness JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 235 Reaction score 120 Jul 6, 2016 #1 habari za jioni, ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri, wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
habari za jioni, ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri, wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Jul 6, 2016 #2 Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni
Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,826 Jul 7, 2016 #3 Inategemea na eneo maana sasa hv zimeachwa nyingi.kutokana na bishara kua ngumu kidogo
Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 5,153 Reaction score 14,491 Aug 8, 2020 #4 Mwenye taarifa snipe tafadhari juu ya mada hii.
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Aug 8, 2020 #5 Mustaphagentleman said: Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni Click to expand... Zipo juu ni kiasi gani? Hizo za wazi na za uchochoroni?
Mustaphagentleman said: Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni Click to expand... Zipo juu ni kiasi gani? Hizo za wazi na za uchochoroni?
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Aug 8, 2020 #6 kagombe said: Inategemea na eneo maana sasa hv zimeachwa nyingi.kutokana na bishara kua ngumu kidogo Click to expand... Bei gani?
kagombe said: Inategemea na eneo maana sasa hv zimeachwa nyingi.kutokana na bishara kua ngumu kidogo Click to expand... Bei gani?
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,824 Reaction score 3,021 Aug 8, 2020 #7 400k, 500k, mpaka 1m zipo