Komaa komaaWakuu habari za weeknd!!
Kama kichwa cha habari.kinavyoeleza, naomba kudeclare interest kwamba my dream nyumba ya ghorofa moja...
KaribuWakuu habari za weeknd!!
Kama kichwa cha habari.kinavyoeleza, naomba kudeclare interest kwamba my dream nyumba ya ghorofa moja...
bado sina drawings mzee. Nataka nijikadirie kwanza ili nijipime. Nikiona naweza ndio nichukue drawings.Makadirio ya gharama za ujenzi yanategemea na ramani ya nyumba.
Unazo structural drawings za nyumba unayotegemea kujenga?
Hiyo ndiyo hatua ya kwanza na ya muhimu kuliko hatua zote za ujenzi.
Uwe na michoro. Bila hivyo itakuwa ni porojo.
Ahsante kwa picha.KaribuView attachment 1788690nikujengee gharama nafuu sanaView attachment 1788691
Mbona eneo unalo?bado sina drawings mzee. Nataka nijikadirie kwanza ili nijipime. Nikiona naweza ndio nichukue drawings.
Sitaki kubeba drawings halafu baadae nikashindwa kwenye ujenzi ikanibidi kutafuta ramani nyingine.
Tafuta ramani peleka kwa QS atakupa makisio ya gharama.Unakomaaje bila kujua gharama?
Ahsante sana, naomba tupe summary ya ujenzi ulipofikia na gharama ulizotumia mpaka sasa. Ikikupendeza kutuonyesha na picha tutashukuru sana.Kighorofa changu nilikichora mwenyewe miaka michache iliyopita na nikaanza na ujenzi. Sikutaka kukadiria saanaa maana sikutaka kuogopa gharama. Baada ya muda mfupi hali ilibadilika sana ikabidi nisimame. Bado kiko kwenye msingi ila hopefully nitaanza tena mwaka huu.
Ushauri wangu na kama wa wengine juu. Tafuta ramani. Itapendeza zaidi ukipata architect anayeweza kufika kwenye eneo lako na kukupatia design kali inayoendana na wewe na 'lifestyle' yako. Pili Structural drawings usipuuze. Mimi zimeniokoa sana. Step ya tatu ni kupata quantity surveyor, ingawa hii step mimi niliiruka.
Usiogope kutumia wataalam. Wengi wanakimbia gharama e.g. laki 5 za kupata structural drawings na kuamini mafundi wa mtaani wanaotegemea uzoefu ila ujuzi hawana na mwishowe wanajikuta wanaingia gharama kubwa mbeleni (mfano pa kuweka nondo ya 10mm fundi akakuwekea 16mm ukaingia gharama za juu au pa kuweka 16mm fundi akakuwekea 10mm ukakosa uimara, nk).
Kwa sasa naona niseme hayo tu.
Aiseeee, msingi tu 7Mil...Mmmmmh hii ni hatariNiatajaribu kuweka picha nikizipata. Ni kucheki back up kama zipo maana simu yangu iliharibika. Mara ya mwisho nadhani msingi ulinigharimu kama 6.5 -7m. ingawa bado haujaisha viuri. Gharama kubwa zilikuwa kwenye labour pia. Hii ni sababu sikuweza kusimimamia ujenzi vizuri kwa ukaribu kwa sababu ilinibidi niwe kazini na kiwanja kiko mbali na eneo la kazi. Maji hakuna hivyo yanunuliwe. Matenki ya maji yawepo. Vifaa vingine mafundi wengi hawana (kama matoroli) hivyo inabidi uingie mfukoni na mafundi wengine wanatumia vibaya na kuharibu vifaa na kukurudisha aidha makusudi (mafundi kuiba cement , nondo, nk.) au kwa bahati mbaya (tairi la toroli kuvunjika). Kwa hiyo kuna vigharama vilikuwa vinajirudia rudia kiholela.
yea. Nafikiri ningekuwa makini zaidi isingefika huko ila ni vitu vya kujifunza 😀😀Aiseeee, msingi tu 7Mil...Mmmmmh hii ni hatari