Mambo vp?msaada tafadhari CD imegoma kutoka kwani mashine hii ya gateway haina eject kwenye upande wa CD Rom,nainategemea keyboard yake yenye eject sasa kwa bahati mbaya alienipa aliishapoteza keyboard yake,now inamouse tu wireless..naukiiwasha inadai kuna file la windows limemiss,hivyo haiendelei kuwaka..naukiichek inapower button tu,coz wameiwekea monitor hapo hapo nakila kitu..sasa nahitaj kuinstall windows mpya nafanyaje?kuitoa cd iliyo ndani ya mashine,ili niingize cd yawindows..?nahapohapo keyboard yake yenye eject button haipo?je?nikiunganisha usb keyboard yakawaida naweza fanyaje ili kuitoa cd iliyokwama ndani...natanguliza shukuran...,,