Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,053 Reaction score 15,622 May 27, 2023 #2 Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele
Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele
Wakanda27 Member Joined May 23, 2020 Posts 40 Reaction score 509 May 29, 2023 Thread starter #3 Offshore Seamen said: Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele Click to expand... Bei ni kuanzia 35,000 mkuu inamaana kuna range. Na kuhusu security ni payment was CV ikishakuwa ready
Offshore Seamen said: Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele Click to expand... Bei ni kuanzia 35,000 mkuu inamaana kuna range. Na kuhusu security ni payment was CV ikishakuwa ready
N natukundamuk Member Joined Jul 28, 2022 Posts 49 Reaction score 268 May 29, 2023 #4 Graduate mzima uende ukatoe 35,000 kutengenezewa CV??sasa huko Chuo ulienda kusoma kweli au kuzungusha makalio tu khaaa!!!halafu 35,000 kitu cha kukaa kwenye Computer dakika 20 ni wizi kama wizi mwingine tu
Graduate mzima uende ukatoe 35,000 kutengenezewa CV??sasa huko Chuo ulienda kusoma kweli au kuzungusha makalio tu khaaa!!!halafu 35,000 kitu cha kukaa kwenye Computer dakika 20 ni wizi kama wizi mwingine tu
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,165 Reaction score 5,643 May 29, 2023 #5 Elimu yetu inapumbaza watu. Yani mimi nitoke home kuja ofisini kwa watu eti nitengenezeeeni CV? Duh na mnapata wateja[emoji23] Ila niwatakie kila la heri
Elimu yetu inapumbaza watu. Yani mimi nitoke home kuja ofisini kwa watu eti nitengenezeeeni CV? Duh na mnapata wateja[emoji23] Ila niwatakie kila la heri
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,673 Reaction score 196,400 May 29, 2023 #6 Ahsante kwa taarifa...