Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,848
Mi nijuwacho TBL wanatumia gesi ... sasa imetoka upande upi hapo sijui..Juzi si nimemsikia mkurugenzi mkuu wa ewura akisem kuwa mradi wa gesi umekamilika kwa asilimia 78? Na akasema kuwa hadi mwezi june mwaka huu utndazaji wa bomba utakuwa umekamilika?au gesi hii gesi gani? Ni kiwanda gani kimeanz kutumia hiyo gesi? Ya mnazibay?au
Mitambo ya gesi
Gesi yaweza kuwa ni mkombozi na rafiki kwa mwanamke kwa kumkomboa kutokana na matumizi ya mkaa na kuni kwa muda mrefu, hasa upande wa kuni, miaka kadhaa baadaye wanawake huwa na macho mekundu na hivyo kuhiziwa kuwa wachawi hasa
kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza Nchini Tanzania na kushuhudia mauaji ya vikongwe yasiyokwisha.
Gesi ikiuzwa kwa gharama nafuu itamkomboa mwanamke na hatari ya kifo,kutokana na matumizi ya nishati ya jadi ,kuni yenye
madhara maishani kutokana na dhana potufu ya ushirikina kwa mwanamke mwenye macho mekundu kudhaniwa ni mshirikiana.
Hapo kwenye blue, ni uongo mtupu...
Hao TPDC mpaka sasa hawajashusha bei ya mafuta ya petrol na diesel, huku bei za bidhaa hizo zikiwa zimeshuka nchi jirani zetu.
Kwenye gesi asilia hali itakua kama ilivyo kwenye mafuta, bei itakua juu, na watu wataendelea kutumua kuni na mkaa.