M matoe New Member Joined Jan 26, 2013 Posts 2 Reaction score 0 May 22, 2013 #1 Leo hii niko Mtwara hali ni Tete vurugu kila kona ya mji.Mabomu na risasi za moto,Kwa ujumla ni hofu kila kona. Wanasiasa punguzeni ukali wa Kauli zenu kwa manufaa yenu.Damu hii inayomwagika ya Wananchi wasio na hatia mtakuja jutia kauli zenu.
Leo hii niko Mtwara hali ni Tete vurugu kila kona ya mji.Mabomu na risasi za moto,Kwa ujumla ni hofu kila kona. Wanasiasa punguzeni ukali wa Kauli zenu kwa manufaa yenu.Damu hii inayomwagika ya Wananchi wasio na hatia mtakuja jutia kauli zenu.