Wakuu hii ishu ya gesi huko Mtwara mbona imekuwa kimya sana au ndiyo ule usemi wa kuwa sisi ni wazee wa matukio. Tukio likija jipya la mwanzo tunalisahau. Mwenye habari kuhusiana na mambo ya gesi Mtwara atujuze....
Anauliza kitu cha msingi wewe unamrukia. Kama huna majibu kaa kimya!Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame
Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame
Uko darasa la tano au la sita? Kitu unachouliza hata watoto wa darasa la saba wanamajibu sasa wewe vipi.Wakuu hii ishu ya gesi huko Mtwara mbona imekuwa kimya sana au ndiyo ule usemi wa kuwa sisi ni wazee wa matukio. Tukio likija jipya la mwanzo tunalisahau. Mwenye habari kuhusiana na mambo ya gesi Mtwara atujuze....
Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame
Uko darasa la tano au la sita? Kitu unachouliza hata watoto wa darasa la saba wanamajibu sasa wewe vipi.
Wanasubili wafanye kama ya Niger.
Kuna kambi zingine kama mbili au tatu kuelejea Lindi, Mtwara mabomba yanaendelea kujazwa!Njoo maeneo ya kongowe mzinga mabomba yako hapa kibao kama bahari a yanazidi kuja na hapoa mzinga palikuwa na giza sana ila now nikama mchana full taa kama za uwanja wa taifa yani kwa hili ------ yko sirius hapan chezea
Kuna kambi zingine kama mbili au tatu kuelejea Lindi, Mtwara mabomba yanaendelea kujazwa!
Njoo maeneo ya kongowe mzinga mabomba yako hapa kibao kama bahari a yanazidi kuja na hapoa mzinga palikuwa na giza sana ila now nikama mchana full taa kama za uwanja wa taifa yani kwa hili ------ yko sirius hapan chezea
Teh teh teh!mbona hata wewe hujamjibu?Anauliza kitu cha msingi wewe unamrukia. Kama huna majibu kaa kimya!
Ebu dondosha hayo majibu hapa nione unachojua we mwanamke.