Poland ilishakua na Wabunge siku nyingi WEUSI.
Mmoja ni mtu wa Dini, kutoka Nigeria anaitwa Johnson Godson na mwingine ni (PhD Mchumi) Killion Munyama kutoka Zambia.
Munyama kushoto na Godson kulia.
Pm wa Poland alipoenda Nigeria, hawa jamaa walikwenda kama wawakilishi wa Bunge la Poland.
PM Donald Tusk, nasikia mwakani atatua Tanzania. Sijui kama atafika tena na hawa jamaa.
German kwa kweli na wao wanaanza kubadilika maana walikuwa watu wagumu si kawaida. Ila walishakuwa tayari na Waziri mwanamke Muislaam kutoka Uturuki. Hata hivyo Waturuki ni wengi sana Germanm aina Ozil wa Arsenal.
Mkuu Steven Sambali uhamiaji unazibadilisha sana hizi nchi za magharibi. Baada ya kuishi na wageni toka nchi nyingine zikiweko za Kiafrika, Kiarabu na kwingineko wamegundua kwamba watu kutoka nchi hizo wana uwezo wa kiutendaji kama wao tu na hivyo taratibu kuanza kupewa nafasi ambazo miaka ya nyuma zilikuwa hata hazitazamiwi kwamba zinaweza kushikwa na wahamiaji.
Poland ilishakua na Wabunge siku nyingi WEUSI.
Mmoja ni mtu wa Dini, kutoka Nigeria anaitwa Johnson Godson na mwingine ni (PhD Mchumi) Killion Munyama kutoka Zambia.
Munyama kushoto na Godson kulia.
Pm wa Poland alipoenda Nigeria, hawa jamaa walikwenda kama wawakilishi wa Bunge la Poland.
PM Donald Tusk, nasikia mwakani atatua Tanzania. Sijui kama atafika tena na hawa jamaa.
German kwa kweli na wao wanaanza kubadilika maana walikuwa watu wagumu si kawaida. Ila walishakuwa tayari na Waziri mwanamke Muislaam kutoka Uturuki. Hata hivyo Waturuki ni wengi sana German akina Ozil wa Arsenal.