M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Feb 12, 2013 #21 Yaani ninunue mbwa ghali hivyo halafu wezi wakija wanakuonyesha advataizi kwa kumuiba mbwa mwenyewe
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Feb 12, 2013 #22 Wale wa mbwa mali huyo
Chuma Chakavu JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,523 Reaction score 655 Feb 12, 2013 #23 hivi kwa shiingi 400,000 napata mbuzi wangapi au kuku wa kienyeji wangapi?
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,386 Feb 12, 2013 #24 RR said: Hivi gayo au kamanzi06 unawaza nini! Unadhani hapa kuna vichwa panzi? Same dog...same same.... hii hapa Sasa umekuja na usanii mwingine....unaandika na kulike mwenyewe Click to expand... Great thinker!! Thanks
RR said: Hivi gayo au kamanzi06 unawaza nini! Unadhani hapa kuna vichwa panzi? Same dog...same same.... hii hapa Sasa umekuja na usanii mwingine....unaandika na kulike mwenyewe Click to expand... Great thinker!! Thanks
Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 936 Reaction score 1,300 Feb 15, 2013 #25 Hayajamani said: Nikimcheleweshea chakula hawezi kula mtoto kweli? Click to expand... Hiyo nayo point ya maana,hauchelewi kukuta msiba home.
Hayajamani said: Nikimcheleweshea chakula hawezi kula mtoto kweli? Click to expand... Hiyo nayo point ya maana,hauchelewi kukuta msiba home.