Kwa akili yake anaweza leta mgogoro mkubwa wa kidplomasia.Kijana ni mjinga sana, hajui hata aongee nini, wapi na wakati gani. Ndio tafsiri halisi ya ujingaactually that one,
is among the best option kamati ya ulinzi, usalama na maadili ccm, may take against the gentleman, politically speaking....
and not necessarily ulipipataja but anywhere but within Africa π
Wewe Mimi na yule hakuna anayejua na wangejula wasinvemuita kwenye kamati Bali ndo wanataka wake. Au nyingi watanzania kama wewe Huwa mnaakili Gani mana uelewa ni finyuKafanyaje????? Mtujuze
Wampe ubalozi tu hata wa Sudani Kusini
Uhainii......Haijulikani
Sikutegemea kabisa John unaweza kuongea hivyo. Kama unavyoongea ni kweli, kwann uchumi wa nchi ili mjue kuwa upo vizur mnalinganisha currency ya nchi yenu na USA? Mfano :Mwaka 1980,Pound moja ya UK mwaka ilikuwa, Tshs 20 .Lakin sasa, hivi ni takribani Tshs, 3,000.Mwaka 1985 USD moja ilkuwa, shs 500.Lakin sasa hivi ni Tshs 2500 na USD hazipatikani. Ili uchumi wako upimwe duniani unatakiwa, kulinganishwa na wakubwa wa uchumi wa duniani. Nimekupa hizo figure ili ujue maana ya uchumi kukua.Maendeleo ni namna Wewe unavyopima na Siyo lazima ujilinganishe na Marekani
Ndio Sababu Shujaa Magufuli amewaachieni Umeme wa kumwaga mshindwe Wenyewe sasa kuendelea πΌ
Tanzania ukiondoa Ufisadi na Rushwa za viongozi wetu uchumi uko vizuri SanaSikutegemea kabisa John unaweza kuongea hivyo. Kama unavyoongea ni kweli, kwann uchumi wa nchi ili mjue kuwa upo vizur mnalinganisha currency ya nchi yenu na USA? Mfano :Mwaka 1980,Pound moja ya UK mwaka ilikuwa, Tshs 20 .Lakin sasa, hivi ni takribani Tshs, 3,000.Mwaka 1985 USD moja ilkuwa, shs 500.Lakin sasa hivi ni Tshs 2500 na USD hazipatikani. Ili uchumi wako upimwe duniani unatakiwa, kulinganishwa na wakubwa wa uchumi wa duniani. Nimekupa hizo figure ili ujue maana ya uchumi kukua.
Katiba gani imewahi kuheshimiwa TanzaniaHii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Hafukuzwi mtu !Kwa mujibu wa sheria
Saizi linatembelea gari mbili Defender new model milion 800 inatembea barabani!Hata wakilipiga chini lina ukwasi wa kutosha wa kulifanya liishi kama peponi kwa siku zote lilizobakiza duniani
Huyo kichwa yake imeathiriwa na ARV usihangaike nae!Kwa wadhifa wa Mkuu wa Mkoa, Makonda ni mtumishi wa serikali na sio mweneezi wa CCm. Huyu mwandishi anaonyesha upeo mdogo katika kuchambua mambo ya kisiasa
Bomaye = lingala word means finish them π !Hivi hii "bomaye" inamaanisha nini?
Huyo hakai Kolomije akiwa Dar anakaa Masaki Kwake na akiwa Mwanza anakaa Capri Point kwake yote maeneo ya kishua kwa Tanzania hii!Nyau km Makonda na bahati mbaya hana hata akili nani amwogope. Rudisha kwao Kolomije akafuge fisi. Yule dogo ni jinga sana
Mpuuzi tu kwani nchimbi na kinana ndio wamemuweka nafasi hiyo ya ukuu wa mkoa?Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Unaumia ukiwa nchi gani? Uswahiba wa samia na.makonda haujaanzia barabarani,chama kina heshima kuliko unavyodhanibora wamuondoe tu ili kuleta heshima kwenye chama na iwe fundisho kwa wengine ambao hawawezi kudhibiti ndimi zao.
Hii nchi ukiwa mkweli, umenyooka na ni mwenye misimamo basi jiandae kuandamwaMchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gerald Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa