Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,190 Reaction score 1,324 Nov 20, 2014 #1 Jambo wadau. Inahitajika gearbox ya kufunga kwenye engine ya 3y kwenye pickup ya toyota hilux ilikua ni automatic nataka kuibaidilisha kuwa manual. Mwenye nayo anichek tufanye biashara fasta mi nipo kibaha
Jambo wadau. Inahitajika gearbox ya kufunga kwenye engine ya 3y kwenye pickup ya toyota hilux ilikua ni automatic nataka kuibaidilisha kuwa manual. Mwenye nayo anichek tufanye biashara fasta mi nipo kibaha
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Nov 20, 2014 #2 ipo milion 2 na nusu,ni used kutoka japan.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,190 Reaction score 1,324 Nov 21, 2014 Thread starter #3 duh iko juu ivo hiyo si hela ya ki baby walker kabisa. Je ni complete set mpaka pedals zake au