Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.

<br /
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?

Nawasilisha

Kama Jf yapo,kilichokupeleka Mwananchi ni nini?Punguza upenzi ambao utakuhatarisha kwani inaonyesha Gazeti lisilo na Jina la Slaa wewe kwako halinamaana.
Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.
My take;
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?
Nawasilisha
ukiona hivyo mhariri hakuwa na taarifa yote, kama ww unawajua wote waandike hapa na utuambie umeyatoa wapi? ulimhoji dk?
Katika toleo la Leo la mwananchi kuna kichwa cha habari Dr Slaa ametaja mafisadi wapya ila ukisoma habari yenyewe hakuna ata jina la hao mafisadi ila ni longo longo nyingi.
My take;
Kwa muhariri wa gazeti hili la mwananchi huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama nyie mtabana tutapata habari kupitia vyombo vingine kwani hapa JF mbona wanayo majina na pia magazeti mengineo iweje nyie mpotoshe jamii kwa kusema Dr Slaa hakutaja majina?
hawa jamaa walishatishiwa nyau last yia wakati wa uchaguzi ndo maana wanakuwa waoga. but a man is he who stands alone