Mwanajeshi wa Israel aliyepotea, ameuwawa
Jeshi la Israel leo(03.08.2014) limetangaza kifo cha Hadar Goldin, mwanajeshi ambaye alipotea katika ukanda wa Gaza siku mbili zilizopita, huku hali ya umwagaji damu ikiendelea bila kuwa na matumaini ya kufikia mwisho.
Luteni Hadar Goldin aliyeuwawa katika mapambano Gaza
Tume maalum inayoongozwa na mkuu wa masuala ya kidini wa jeshi hilo, rabbi , amesema luteni Goldin ameuwawa katika mapambano katika ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa, jeshi la Israel limesema katika taarifa. Msemaji wa jeshi amekataa kusema iwapo mwili wa mwanajeshi huyo umepatikana ama la.
Upande wa Israel hapo kabla ulionesha hisia kuwa mwanajeshi huyo mwenye umri wa miaka 23 Goldin amekamatwa mateka na wapiganaji wa Hamas katika ukanda wa Gaza, na kutoa nafasi finyu ya kuwapo makubaliano ya muda mrefu ya kusitisha mapigano katika mzozo huo uliosababisha umwagikaji mkubwa wa damu.
Uchukuaji mateka unaonekana na Israel kuwa ni kama kuiweka nchi hiyo rehani.
Tawi la kijeshi la Hamas , la Ezzedine al-Qassam, limekiri kuwa wapiganaji wake wamefanya shambulio la kushitukiza mapema siku ya Ijumaa ambapo wanajeshi wawili wa Israel wameuwawa, lakini imekana kumshikilia Goldin.
CHANZO: DW
Tena uzuri wa waIsrael wanajua wazi kama wakisha kufa wanaenda motoni, sa bora akajue kuwa kama ataongea kiarabu badala ya kiyahudi wao wanadhani maiti wataikimbia, na Mungu kisha sema hata wawe wapi ikifa siku yao hawana ujanja :cool2:Acha auawe Kwani wao wanawauwa wapalestine wangapi?
Israel siku zote hawasemi ukweli, kama wanavyo wapoteza watu duniani wao ni Taifa la Mungu na wajinga wakamini, siku zote mtu alisha itwa kondoo aliye potea unategemea nini tena.Kumbe hamas walikuwa wa kweli walisema " hawajakamata mateka askari yeyote wa israeli hizo ni propaganda zao za kutaka kuua watoto kwa kisingizio cha kumtafuta" walisema wanaamini ameuwawa katika mapambano. Waisraeli njooni huku mfungue makanisa wapo watu wanawaita watoto wateule wa mungu mje mkusanye kuliko tra.
What's the point..ya'll hate dying knowing virgin sluts waiting for you uh?Tena uzuri wa waIsrael wanajua wazi kama wakisha kufa wanaenda motoni, sa bora akajue kuwa kama ataongea kiarabu badala ya kiyahudi wao wanadhani maiti wataikimbia, na Mungu kisha sema hata wawe wapi ikifa siku yao hawana ujanja :cool2:
Israel siku zote hawasemi ukweli, kama wanavyo wapoteza watu duniani wao ni Taifa la Mungu na wajinga wakamini, siku zote mtu alisha itwa kondoo aliye potea unategemea nini tena.
Kwenye pepo unayoizungumzia hapo kuna kitu gani cha kufanya ionewe shauku na hao unaowashutumu?Nyie wakristo na mayahudi msahau kama mtaiona pepo, mnamfananisha Mungu na binadamu, yani hapo ndio Mungu hatasamehe kabisa, nyie pepo yenu ni hapa tu duniani:cool2:
We hata useme nini huwezi kubadilisha asili yangu, poleni sana naona mnakimbia, sijawahi kuona taifa la Mungu likawakimbia taifa la shetani:A S wink:Waarabu koko utawajua tu kwa maneno yao ya kashfa kwa wengine.
Poleni sana kama mnaota mtaiona ndoto, nyie mnamuabudu binadamu si Mungu, afu bibilia yenu inasema Mungu wenu alizaliwa kwenye zizi la Ngo'mbe yani hata wewe unathamani kuliko Mungu wa wakristo, hivi Bibilia zenu ni vichaa ndio waliziandika:cool2:Kwenye pepo unayoizungumzia hapo kuna kitu gani cha kufanya ionewe shauku na hao unaowashutumu?