Hamas ni Magaidi, hawapelekwi the Hague.
Wanatakiwa wakamatwe na kuchukuliwa harua kwenye nchi husika kwa ugaidi walioufanya.
Israel ni Taifa na serikali iliyoingia ktk mikataba kadhaa ya kimataifa baada ya 1948. Uhalifu wa kivita wanaoufanya ndo umewafanya waitwe the Hague kujibu tuhuma.
Elewa kwanza mantiki ndo uje kk