M muvangulumemile JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 697 Reaction score 983 Jun 21, 2023 #21 The last don said: Hilo Gawio sio la T-pesa...namba zimekufelisha hapo katika kuwanywesha watu chai Bosi. Amount received imekuwa kubwa kuliko available balance. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Acha ubishi hata Mimi nimepata 4000
The last don said: Hilo Gawio sio la T-pesa...namba zimekufelisha hapo katika kuwanywesha watu chai Bosi. Amount received imekuwa kubwa kuliko available balance. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Acha ubishi hata Mimi nimepata 4000
V Very poor JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 403 Reaction score 589 Jun 22, 2023 Thread starter #22 Sa 7 mchana said: Hii nchi ni mazingaombwe Click to expand... Mkuu ukihitaji uthibitisho nakutumia screen shut, nimejibu hapo juu kwanini nimeandika hivyo
Sa 7 mchana said: Hii nchi ni mazingaombwe Click to expand... Mkuu ukihitaji uthibitisho nakutumia screen shut, nimejibu hapo juu kwanini nimeandika hivyo
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 22, 2023 #23 Voda ☺️ afu kwanini magawio yao wanatoa usiku
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 22, 2023 #24 Very poor said: Mkuu ukihitaji uthibitisho nakutumia screen shut, nimejibu hapo juu kwanini nimeandika hivyo Click to expand... Iweke hapa hapa ulipotudanganyia
Very poor said: Mkuu ukihitaji uthibitisho nakutumia screen shut, nimejibu hapo juu kwanini nimeandika hivyo Click to expand... Iweke hapa hapa ulipotudanganyia
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 22, 2023 #25 muvangulumemile said: Acha ubishi hata Mimi nimepata 4000 Click to expand... Pale kabishi nini nawe? Yan upokee elf4 kisha new balance isome elf 3, na unataka watu wasibishi?
muvangulumemile said: Acha ubishi hata Mimi nimepata 4000 Click to expand... Pale kabishi nini nawe? Yan upokee elf4 kisha new balance isome elf 3, na unataka watu wasibishi?
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Jun 22, 2023 #26 Depal said: Voda ☺️ afu kwanini magawio yao wanatoa usikuView attachment 2664883 Click to expand... Fanya miamala. Upokee hata £1 next time. Do they pay bonus on a monthly basis?
Depal said: Voda ☺️ afu kwanini magawio yao wanatoa usikuView attachment 2664883 Click to expand... Fanya miamala. Upokee hata £1 next time. Do they pay bonus on a monthly basis?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 22, 2023 #27 Dr Restart said: Fanya miamala. Upokee hata £1 next time. Do they pay bonus on a monthly basis? Click to expand... Si heri nimefika buku+ Hao waliopata chini ya jero je 😁 Hata sielewi yan uwa wanafanyaje
Dr Restart said: Fanya miamala. Upokee hata £1 next time. Do they pay bonus on a monthly basis? Click to expand... Si heri nimefika buku+ Hao waliopata chini ya jero je 😁 Hata sielewi yan uwa wanafanyaje
V Very poor JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 403 Reaction score 589 Jun 22, 2023 Thread starter #28 Depal said: Si heri nimefika buku+ Hao waliopata chini ya jero je Hata sielewi yan uwa wanafanyaje Click to expand... Bado huamini tu mkuu?
Depal said: Si heri nimefika buku+ Hao waliopata chini ya jero je Hata sielewi yan uwa wanafanyaje Click to expand... Bado huamini tu mkuu?