Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 121
Nilijiunga na NICOL zamani sana nikapotelea huku Kigoma, sijawahi fuatilia chochote kuhusu uanachama wangu. Kunauwezekano wa Hisa zangu bado zipo?■ Kiasi cha gawio kilichoidhinishwa ni TZS 70 kwa kila hisa.
■ Jumla ya fedha zitakazolipwa kama gawio ni TZS 4.3 bilioni.
■ Hii ni sawa na 40% ya faida halisi ya NICOL kwa mwaka 2024.
✅ Ratiba ya gawio ni kama ifuatavyo:
》 Biashara ya hisa zitakazohesabiwa kwenye gawio (cum-dividend): Kuanzia 1 Septemba 2024 hadi 19 Septemba 2025
》 Biashara ya hisa bila gawio (ex-dividend): Kuanzia 22 Septemba 2025 —hisa zitakazonunuliwa baada ya hii tarehe hazitahesabika kwenye gawio la mwaka huu.
》 Kufungwa kwa daftari la wanahisa: 24 Septemba 2025.
》 Malipo ya gawio: Kuanzia 30 Septemba 2025.
Kama ni mwekezaji mpya wa NICOL na hujajaza form au unataka ku-update taarifa hakikisha unajaza Form.
Je wewe ni mmoja ya wanaopata gawio?
Hisa zako bado zipo - tafuta CDS number yako (utaipata kwenye cheti chako cha mwanahisi, natumaini utakuwa nacho kwa sababu huko nyuma walikuwa wanatoa vyeti ila kwa sasa kila kitu kipo Digital).Nilijiunga na NICOL zamani sana nikapotelea huku Kigoma, sijawahi fuatilia chochote kuhusu uanachama wangu. Kunauwezekano wa Hisa zangu bado zipo?
Yap, cheti ninacho.Hisa zako bado zipo - tafuta CDS number yako (utaipata kwenye cheti chako cha mwanahisi, natumaini utakuwa nacho kwa sababu huko nyuma walikuwa wanatoa vyeti ila kwa sasa kila kitu kipo Digital).
Ukipata CDS, wasiliana na DSE au broker yoyote upate access ya DSE hisa kiganjani na pia ujaze form ili upate magawio ya nyuma kama ulikuwa hujawahi kupata.
Sawa, ukipata changamoto utanicheck.Yap, cheti ninacho.
Nitafanya.
Kama cheti kimepotea na CDS namba hukumbuki itakuwaje ?Hisa zako bado zipo - tafuta CDS number yako (utaipata kwenye cheti chako cha mwanahisi, natumaini utakuwa nacho kwa sababu huko nyuma walikuwa wanatoa vyeti ila kwa sasa kila kitu kipo Digital).
Ukipata CDS, wasiliana na DSE au broker yoyote upate access ya DSE hisa kiganjani na pia ujaze form ili upate magawio ya nyuma kama ulikuwa hujawahi kupata.
Jaribu kuwasiliana na DSE watweza kukusaidia kupata taarifa zako.Kama cheti kimepotea na CDS namba hukumbuki itakuwaje ?
Form zinapatikana wapi mkuu, kama za CRDB,NMB ,NICOL nk■ Kiasi cha gawio kilichoidhinishwa ni TZS 70 kwa kila hisa.