Kila msanii anaenda kenya kwa sasa kulikoni?
Hii ni picha ya nandy akiwa amechora tatoo ya gavana wa mombasa bwana Joho....
Jee inamaama wapo kwa mahusiano?hivi joho si anaye mpenzi!
Ijapo haijathibitika rasmi ila joho anapaswa aweke wazi au tumuulize rafiki yake wa karibu ambaye ni Omy dimpoz au hata kiba
View attachment 1019126
Sent using
Jamii Forums mobile app