Gas ya bp

Mparanyanga

Member
Joined
May 20, 2010
Posts
28
Reaction score
5
Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa dar es salaam?
mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie.
bless you
 
Mkuu kwa sasa hivi BP hawapo tena Tanzania. Labda kwa msaada jaribu kupitia petrol station za Puma wana weza kukupa majibu
 
asante, nilapata pale tangi bovu karibu na petrol station ya oilcom, wanauza gas za aina zote ingawa wamesema bp soon haitakuwepo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…