GAS hii wangeipata Wakenya...!

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Wangeiapata wa Kenya au nchi yeyote Africa wananchi wake wenye akili sawa na wanaothamini maendeleo ...Nadhani ndio ingekuwa ndio bye bye umasikini. Lakini hapa kwetu sijui
 
JIAMINI ACHA KUJISHUSHA..... Ni uongozi mbovu tu. Si kwamba hatuna akili ndugu.
 
jaribu kujiamini mwenyewe nani alikwambia wakenya wana akili kutuzidi mbona bado maskini kama sisi?
jaribu kuwa unasoma historia na kujifunza utagundua sisi ndio tumepiga hatua kubwa kimaendeleo kuliko kenya ukizingatia yafuatayo
1. makampuni na viwanda vingi vikubwa duniani kwa africa mashariki vilifungua ofisu na viwanda nairobi
2. mwanzoni walitucheka kwa sera yetu ya ardhi lakini kwa sasa hawana sehemu za kulima kwa sababu mashamba makubwa wanalima maua bila chakula kutoka tanzania kenya kutakua njaa balaa
3. nchi yetu maendeleo yanaenda kila kona ya nchi mfano ni barabara zetu tunajenga nchi nzima wao huwa wanaconcetrate na sehemu zinazowaingizia kodi tu nairobi, mombasa, kisumu nenda kaskazini uone kama kuna maendeleo
3. kisiasa na demokrasia tuko mbali sana ukilinganisha na wao na hata ukiangalia kwa kiasi fulani amani ya kenya inategemea siasa za tanzania kwa watu wanaofahamu siasa za kimataifa ndio maana hutaacha kuwaona wanaotaka uraisi kenya lazima tanzania ikuunge mkono ndio maana wote hawaishi kuja kwetu
 
Isingekuwa tanzania wakenya wangekufa na njaa? Kwani chakula tunawapa bure???? Tumia akili ndugu
 
wangeiapata wa kenya au nchi yeyote africa wananchi wake wenye akili sawa na wanaothamini maendeleo ...nadhani ndio ingekuwa ndio bye bye umasikini. Lakini hapa kwetu sijui
===mkuu, kenya hakuna lolote, nimeishi muda mrefu sana kule, naomba uamini tz ni mahali pazuri zaidi ya huko kenya.
Kwa mwamko tulionao watanzania, baada ya miaka 10 tutakua mbali, amini hilo
 
===mkuu, kenya hakuna lolote, nimeishi muda mrefu sana kule, naomba uamini tz ni mahali pazuri zaidi ya huko kenya.
Kwa mwamko tulionao watanzania, baada ya miaka 10 tutakua mbali, amini hilo

kwa taarifa kenya wamesha gundua mafuta na gesi pia .labda tusubiri tuone kama unachosema kitakuwa tofauti .kwani pia wao mafuta na gesi vimegunduliwa jimbo lilo masikini na lilo sahauliwa zaidi ya mtwara .
 
Wangeiapata wa Kenya au nchi yeyote Africa wananchi wake wenye akili sawa na wanaothamini maendeleo ...Nadhani ndio ingekuwa ndio bye bye umasikini. Lakini hapa kwetu sijui

This is a ----,eti nchi yeyote Africa wananchi wake wenye akili.
 
Isingekuwa tanzania wakenya wangekufa na njaa? Kwani chakula tunawapa bure???? Tumia akili ndugu
Tunawauzia sawa but who said Kenya is the only market wea we can sell our grain into? Dude ol our neighbours crave for our food xo we can sell it elsewhere, Hii EAC thing na history tuliyonayo na Kenya plus friendship ndio tunawauzia wao tena at a cheaper price na bado wengine wanasmuggle! Bila Tanzania Kenyanz r as hungry as church mice!
Digest that!
 
Bajeti yao 100% wanajitegemea wenyewe . Wana university za maana zaidi ya kumi
 
their health care is good, infrastructure is good, they do not depend on donors for their budget, foreign debt is at all time low!!! supermarket zetu zimejaa bidhaa zao, wanatiririka kwa wingi kuja kuchukua kazi zetu nk so wanatupeleka puta tukubali tusikubali!!!
 

infrustructure gani nzuri unayosema, Kenya huwa wanaconcentrate kuanzia Mombasa, Nairobi, Kisumu roads tu nenda kaskazini uangalie hali ya infrustructure unayosema halafu njoo kwetu uangalie infrustructure yetu kuanzia dar es salaam kwenda mbeya, mtwara, arusha, mwanza.
Tatizo letu ni kushabikia vitu ambavyo hatuvijui tembea uone mkuu ili ujue maisha halisia.
kama wangekuwa na huo uwezo wa kipesa kama unavyosema wangeondoa slums ambazo nusu wa wakazi wa Nairobi wanaishi. (approx. 2million) bovya hapa UN-HABITAT.:. Kenya | Activities | Kenya Slum Upgrading Project (KENSUP)


 

namba tatu hebu funguka kidogo maana kwa TZ hatuna demokrasia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…