Nenda kawahi fursa, MAANA mikoa imefunguka, barabara za kisasa zimefika huko. Siku hizi Dar Mtwara mpaka Lindi wala huwazi, mpaka bus la saa sita mchana unalipata. Siku hizi Dar SONGEA hupitii NYANDA za juu Iringa na Njombe, unapita Mtwara Masasi Lindi Namtumbo mpaka SONGEA. Ni fupi pia haina milima. Sijui lkn kama unajua pande hizo.