Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Nov 13, 2017 #161 Mbalamwezi1 said: Evelyn 'Chumvi' endelea tu kumpamba mshkaji haonagi shida kukugawia gari huyu jamaa!We subiri tu utapokea muujiza wako soon! Click to expand... Teh nlijua tu dizaini yako hamkosekani, mi sijampamba nimemsifia serious, anajibiwa kejeli lakini mwenyewe karelax hiyo ndio lugha ya biashara.... Ngoja nikamsifie zaidi huko pm
Mbalamwezi1 said: Evelyn 'Chumvi' endelea tu kumpamba mshkaji haonagi shida kukugawia gari huyu jamaa!We subiri tu utapokea muujiza wako soon! Click to expand... Teh nlijua tu dizaini yako hamkosekani, mi sijampamba nimemsifia serious, anajibiwa kejeli lakini mwenyewe karelax hiyo ndio lugha ya biashara.... Ngoja nikamsifie zaidi huko pm
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 13, 2017 Thread starter #162 Harrier Inauzwa mil 9 tu
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 13, 2017 Thread starter #163
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 13, 2017 Thread starter #164 ovi said: View attachment 630094View attachment 630095View attachment 630096View attachment 630097View attachment 630098View attachment 630099 Click to expand... Inauzwa mil 7.5 IMEUZWA
ovi said: View attachment 630094View attachment 630095View attachment 630096View attachment 630097View attachment 630098View attachment 630099 Click to expand... Inauzwa mil 7.5 IMEUZWA
B ba nso JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 668 Reaction score 225 Nov 13, 2017 #165 ovi said: Km 120000 ipo dar sinza Engine Vvti Model ya 1980 Click to expand... Model ya kwenye 1980?
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,992 Nov 13, 2017 #166 Nakupongeza sana OVI kwa tangazo lako, kwa sasa unaeleweka, naweza kuwa mteja wako soon!!
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 13, 2017 Thread starter #167 sengobad said: Nakupongeza sana OVI kwa tangazo lako, kwa sasa unaeleweka, naweza kuwa mteja wako soon!! Click to expand... Asante Na karibu Sengobad Nashukur kwa kuniamini
sengobad said: Nakupongeza sana OVI kwa tangazo lako, kwa sasa unaeleweka, naweza kuwa mteja wako soon!! Click to expand... Asante Na karibu Sengobad Nashukur kwa kuniamini
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,076 Reaction score 17,463 Nov 13, 2017 #168 Evelyn Salt said: Nmekupenda bure hauna jazba kwenye biashara zako unajua kuongea vizuri na wateja na sisi tusio wateja, hongera. Click to expand... Kuna bwana mmoja hivi, Munawar kama sikosei... Jamaa ni awamu ya tano haswa!
Evelyn Salt said: Nmekupenda bure hauna jazba kwenye biashara zako unajua kuongea vizuri na wateja na sisi tusio wateja, hongera. Click to expand... Kuna bwana mmoja hivi, Munawar kama sikosei... Jamaa ni awamu ya tano haswa!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Nov 13, 2017 #169 ISO M.CodD said: Kuna bwana mmoja hivi, Munawar kama sikosei... Jamaa ni awamu ya tano haswa! Click to expand... Huyo jamaa huwa namsikia tu habari zake ngoja leo nimsearch
ISO M.CodD said: Kuna bwana mmoja hivi, Munawar kama sikosei... Jamaa ni awamu ya tano haswa! Click to expand... Huyo jamaa huwa namsikia tu habari zake ngoja leo nimsearch
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,076 Reaction score 17,463 Nov 13, 2017 #170 Evelyn Salt said: Huyo jamaa huwa namsikia tu habari zake ngoja leo nimsearch Click to expand... Utafurahi na roho yako
Evelyn Salt said: Huyo jamaa huwa namsikia tu habari zake ngoja leo nimsearch Click to expand... Utafurahi na roho yako
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,205 Nov 14, 2017 #171 ARV said: Carina gari za zamani sana..imepitwa na wakati, siku hizi zinanunuliwa na wasukuma tuu Click to expand... mwehu ww
ARV said: Carina gari za zamani sana..imepitwa na wakati, siku hizi zinanunuliwa na wasukuma tuu Click to expand... mwehu ww
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,205 Nov 14, 2017 #172 ovi said: View attachment 628664View attachment 628665View attachment 628666View attachment 628667View attachment 628668 Click to expand... Vigari vya kike
ovi said: View attachment 628664View attachment 628665View attachment 628666View attachment 628667View attachment 628668 Click to expand... Vigari vya kike
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,205 Nov 14, 2017 #173 ovi said: View attachment 628785View attachment 628786inauzwa 7.6 Click to expand... 5.5 haipendezi
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 15, 2017 Thread starter #174 Mark 11 inauzwa mil 3.0
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 15, 2017 Thread starter #175 Allion inauzwa mil 8
V vince carter Member Joined Mar 24, 2015 Posts 33 Reaction score 12 Nov 15, 2017 #176 ovi said: View attachment 627361View attachment 627363View attachment 627364 Kluger mil 16 4cylinder Click to expand... Weka namba ya simu basi
ovi said: View attachment 627361View attachment 627363View attachment 627364 Kluger mil 16 4cylinder Click to expand... Weka namba ya simu basi
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 15, 2017 Thread starter #177 vince carter said: Weka namba ya simu basi Click to expand... 0679502252 Hyo apo mkuu
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 15, 2017 Thread starter #178 Allioni Iko dsm Inauzwa mil 14
ovi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 416 Reaction score 298 Nov 15, 2017 Thread starter #179 Passo inaizwa mil 4.5 Iko dsm
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,542 Nov 15, 2017 #180 ovi said: View attachment 630088View attachment 630089View attachment 630090View attachment 630091View attachment 630092View attachment 630093 Harrier Inauzwa mil 9 tu Click to expand... Why 9m only?
ovi said: View attachment 630088View attachment 630089View attachment 630090View attachment 630091View attachment 630092View attachment 630093 Harrier Inauzwa mil 9 tu Click to expand... Why 9m only?