Gari za Mikopo

kama upo seriouz na biashara halali weka mawasiliano, na tarifa muhimu
 
kama upo seriouz na biashara halali weka mawasiliano, na tarifa muhimu

Kweli babu isije ikawa magari ya wizi............elezea vizuri uko wapi contact zako na kila kitu......
 
Tunauza gari kwa Mikopo kama unahitaji ni PM please

Weka contact, upo wap sasa mtu atajuaje! Inavyoonekana wewe hujui biashara unapost tu hapa! Hapa n kwa ma great thinker so lazima uangalie kitu uanchokipost
 
mtoa uzi punga tu!!...na nyie watu wa bara la giza acheni umaskini banah!!...kama una shida ya gari si uagze nje!
 
mtoa uzi punga tu!!...na nyie watu wa bara la giza acheni umaskini banah!!...kama una shida ya gari si uagze nje!

we shoga umerud tena?? Hole girl acha shobo
 
mimi nataka noah ya mkopo nitafute atmost.dw@gmail.com
 
More details na useme unapatikana wapi including personal contacts.
 
Mkopo wa mda gani?
Collateral ni ipi?
Kama kuna down payment ni asilimia ngapi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…