mwaka wa nne natumia gari hiyo,ni nzuri sana na spea zake hata kijijin utazipata kwani ni sawa na corolla ila kuwa makini,ziko caldina za aina nyingi,tafuta yenye cc 1500 ingine kama sijakosea ni 5E!ukiipata hiyo mafuta inanusa tu na safari za ar dar dar mbeya inapeta tu,unafuta spidi meter yote kwani jinsi ilivyo inaifanya iwe stable sana