Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa muda wa siku 7 mpaka 14
ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili gharama na maandikishano.
NB: Gari iwe katika hali nzuri, yaani iwe "Roadworthy".
Karibuni