Gari ya kukodi Iringa

authentic05

Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
89
Reaction score
83
Habari za Jioni,
Inatafutwa gari ya kukodi Kwa ajili ya Shughuli
Sifa,
Iwe Saloon car, 5seats
Mercedes benz au BMW,
Toyota crown is the Last option,
Itafanya kazi siku nzima kwenye 50km toka Mjini, barabara ni Nzuri panafikika
Itaenda asubuhi na kurudi jioni.
Iwe kwenye hali nzuri,

pm kama una hiyo Maneno.
 
Dah umaskini mbaya dili kama hili lilikua sio la kulikosa mimi zama hizi
kote hakufai
 

Mkuu Allion vipi? Itakufaa?
 
MKUU,

UKITAKA CARINA Ti SEMA NIMSHTUE JIRANI YANGU HAPA ANAYO!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…