R raky JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 206 Reaction score 34 Apr 16, 2013 #1 Wapendwa natakuagiza gari moja kati ya hayo please naombeni ushauri juu ya tofauti zao coz mi nashindwa kutofautisha naona ziko sawa zote kuanzia cc hadi body structure Yao na vipi kuhusu ushuru kwa gari ya mwaka 2003,asanteni
Wapendwa natakuagiza gari moja kati ya hayo please naombeni ushauri juu ya tofauti zao coz mi nashindwa kutofautisha naona ziko sawa zote kuanzia cc hadi body structure Yao na vipi kuhusu ushuru kwa gari ya mwaka 2003,asanteni