Gari toyota mark ii inauzwa.

Joined
Aug 9, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Toyota mark II bado nzima na inatembea unaweza ukaletewa hapo ulipo kwa bei ya tsh.mil 5.5 (milioni tano na laki tano) kwa maelezo zaidi 0717342771.
 
Weka picha wewe,kabla ya yote watu wajionee. Pia Details;
Ya mwaka gani
Transmission
Imetembea Km ngapi
Ni Mark II ipi
Etc etc
 
Picha mkuu ndo kila kitu mimi nipo serious nahitaji usafiri. Na plate namba tuzione
 
Najarib kueka pcha inagoma ila naweza nkatuma whatsapp kma uko interested
 
Kama picha zimgegoma, at least weka details zaidi za gari kama uko serious kuuza gari lako.
 
pisha ndo hizo
 

Attachments

  • Sale 1.jpg
    42.5 KB · Views: 195
  • Sale 2.jpg
    32.1 KB · Views: 169
  • Sale 3.jpg
    30.7 KB · Views: 140
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…