kizotamagari
Member
- Aug 29, 2018
- 37
- 5
kizotamagari kama inakulipa tuongee biashara fastaNahitaji sana gari ila nina 3M tu
Hapan kwa hela hiyo cyo nina carina t. I namb A nauza nne na nusukizotamagari kama inakulipa tuongee biashara fasta
Nne na nusu unauwa ifumange nna carina imesimama nawez nikakuuzia kwa ela hiyoNne na nusu imekaaje?
Cjaelew hapoKuna fault code yoyote?
Passo ndo ingefaa nakaa buguruni kazi chanika kwa mafuta .Nne na nusu unauwa ifumange nna carina imesimama nawez nikakuuzia kwa ela hiyo
Hiy passo priston 4Passo ndo ingefaa nakaa buguruni kazi chanika kwa mafuta .
Unauwa kwa hiyo then hiyo priston 4 labda priston 3 nne na nusu waweza ukapataPasso ndo ingefaa nakaa buguruni kazi chanika kwa mafuta .