Mkuu unataja bei jamaa akiingia kingi anakuachia....
Mkuu huko hakuna madalali kweli.....mwenyewe hataki madalali....biashara mbichi hiyo!
Mimi siwezi kujiumiza mwenyewe weka bei kwanzaMkuu tangaza dau jamaa hana hiana.....chukua mkoko huo utese mjini....amekupa wewe first priority inaonekana uko serious ingawa maombi ni mengi sana.......