Kama Kluger mbona!!!Hii sio Lexus mafuta tele hii
Maana Dokta Cheni ilimshinda ile ya kanumba.
Au macho yangu
Hii sio Lexus mafuta tele hii
Maana Dokta Cheni ilimshinda ile ya kanumba.
Au macho yangu
kama uko tayari nikupe nissan xtrail na pesa juu nichukue hii. Nicheki pm
Haya sasa,hahaha kazi kweli,biashara ndani ya biashara
kama ukitaka kuiuza hyo xtrail mnunuzi nipo...at a resonable price then uongezee ununue hyo.pm me
Una shs ngapi ambayo unaita reasonable! Kabla sijakuambia ya moyoni. Taja tu usione soo
njoo pm mkuu tuongee samahanidaah ulivyonishushua...yaishe kaka..haikuwa bahati yangu
Hii sio Lexus mafuta tele hii
Maana Dokta Cheni ilimshinda ile ya kanumba.
Au macho yangu
Ni nzuri lakini bei kubwa...!!
Ni nzuri lakini bei kubwa...!!
njoo pm mkuu tuongee samahani
bei nzuri hiyo kwa Kluger.
Hii kitu sio fuel guzzler?
Inakunywa mkuu, inakunywa lakini si level za V6 na V8
Cc zake nafikiri 2400-3000 kama sikosei.