Gari likiwa katika hali nzuri linauzwa dar es salaam. Gari lina sifa zifuatazo:
Aina: Suzuki escudo nomade
rangi: Kijani
mileage: 44002km
four wheel drive
mwaka wa usajili: 2012
cc: 1500
bei: Milioni tisa (9) tu!
Kwa mawasiliano zaidi piga: 0768483231