Ni picha tosha kuwa wakishika madaraka lazma kwanza wajaze matumbo na kujiwekeza kichama......... Kuna umuhimu wa kuibadili katiba kuhusu uwezo wa wagombea kiuchumi. Kama wafanyavyo America

Ni bora SHETANI unayemjua kuliko MALAIKA usiyemjua. Hi chama ninaamini kimejaa malaika tusiowajua subirini mziki wake sera zao ni unafiki fitina na kulipa visasi mtaona tu.