Gari kwa mkopo inahitajika

Gari kwa mkopo inahitajika

AHMARDZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
790
Reaction score
678
Habari wadau,

Natafuta gari ya mkopo, kwa kulipia kidogo kidogo gari budget 4,000,000/= aina ya gari suzuki jimny wide au escudo namba sijali saana hata A poa ila gari iwe nzima tuh asante karibuni.
Napiga kazi yani mwajiriwa sehemu fulani na net salary kiasi nzuri ina weza nifanya ningie bank nakukopa gari mpya ila nimejaribu bank kuomba mkopo mwajiri wangu anazingua hataki kukubali kuni dhamini ndo changamoto ni lio nayo,karibuni hata kwa ushauri kama kuna watu wanakopesha gari nalipia kidogo kidogo.
 
njoo PM mkuu
 
Mkuu, yaani na mimi ni kama huyo jamaa...benki hawataki kutupa mikopo, vigari tunavitaka, pesa haiwekeki
sema kweli naona gari nyingi tuh nzuri na bei poa kupatana ila ndo hivyo bank zime tutupa sijui kuna taasisi inakopesha tufamishane tupeane kidogo kidogo.
 
Millioni moja mzee, na ukitaka tunaandikishiana hadi kwa wakili asimamie na ninaweka standing order kwenye account yako ya kiasi cha 250,000 kwa miezi 12 iwe unaingia kwenye account yako automatic.
 
Kwanza bank kama NBC wanazengua mkopo mtu unakaa mpaka miezi miwili hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi bank mshahara unakopitia ni exim bank na jamaa wanataka kampuni ndo hi ni dhamini nipate mkopo wa 7,200,000 hivi ila muhindi hataki kuni dhamini. ila bank zingine hawana neno tatizo wanataka mshahara upite kwenye bank zao ila nae muhindi hataki mshahara upitie bank zingine zaidi ya exim tuh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom