Gari yangu ni Vitz 2001. Tatizo la kugoma reverse limeanza kama week 2 zilizopita. Mara nyingine inakubali reverse hasa Asubuhi ninapoiwasha hila baada ya hapo inagoma ni only 10% inakubali. Shida ni nini? Gearbox oil ninayotumia ni Lubex na niliweka January tarehe 8.

Kwangu mm kama muuzaji wa vilainishi ukiniambia nikushauri atf oil ya kuweka kwenye gari ambayo ni multipurpose nitakutajia kwa mtiririko ufuatao 1- liquimoly, 2 castrol oil, 3 total full stop tofaut na hapo hakuna multipurpose oil bora kwenye gari zetu hizi za bongo ukikosa hizo tafuta atf za gari husika ambazo ni genuine maana kariakoo hawashindw kufyatua feki zake kwa maana ya atf ya Toyota kwa ajili ya magari yake tu, Nissan, Subaru, Honda nk ila hizi sjui lubex rapide na international ni utumbo tupu hakuna kitu humo maana hata hazina uthibitisho wowote kutoka API/ ACEA
Mkuu usitishike Vitz nyingi zinakubwa na shida hiyo hata mm ilinikuta juzi nikawahi kwa fundi wangu nikamwelezea shida aiseeee alinicheka sana ....jibu alilonipa alinishauri asubuhi niwashe gari ikaee kama dk 10 hivi mpaka kile kiicon cha kijani kitoke then piga rivasi uwezavyo hadi kwenye mlima napandisha tu kwa rivasi.