Kwa yeyote aliyewahi kununua gar kwa kuagiza Japan naomba msaada gari ambayo inauzwa Japan Dora 3000 mpk ikafike kwangu inaweza kugharimu tshs ngapi kwa kutumia kampuni ya be fowarded
TRA wanatisha......nimeangalia kodi ya gari langu nilinunua mika minne iliyopita nimesikitika...kodi yake leo hii inakariana sana na bei niliyonunua hii gari pamoja na kodi zake zote..
I love my car...siliuzi ng'oooo..