Showroom amenunua Wiki iliyopita mtu wa karibu Kwa milion 11.5 ya mwaka 2006..yeye gari ina miaka minne anauza bei iyo,, mmhSikuharibii biashara ila hiyo 10 ni nyingi kwa gari hiyo. Kuagiza ni 10 pia so fanya hata 7.5
Nadhani hajafanya utafiti wa soko la hizo gari kwa sasa.Showroom amenunua Wiki iliyopita mtu wa karibu Kwa milion 11.5 ya mwaka 2006..yeye gari ina miaka minne anauza bei iyo,, mmh
Gari kama utainunua leo na kuisajili tu then ukaenda kuifungia ndani kwa miaka minne siku ukiitoa huwezi kuuza kwa bei uliyonunulia kwa sababu zinashuka thamani kulingana na muda iliyosajiliwa. Kwa kiswahili inaitwa depreciation. Kama ni gari yako mwenyewe basi uza hata kwa 7m kama ni dalali basi hata 16m uza maana wajinga hawaishi.GARI kununuliwa 2015 siyo ndo imetumika muda mwng ipo tu kwa sababu ya safari za nje
nahisiNadhani hajafanya utafiti wa soko la hizo gari kwa sasa.
haijafika huko mileage , alienunua ni mdogo wangu nami nilikuwepo,showroom ya pale karibu na kituo cha police osterbay, imetoka na namba DRCNa pia unaweza kununua showroom lakini mileage ikawa 100000 na kitu
Gari ukiinua hata saa hivi hapo showroom kwa mil 10 ukitoka nayo tu hapo nje ya geti la hio showroom ukasema unaiuza nakwambia utaiuza kwa mil 9.5,depreciation is real.Gari kama utainunua leo na kuisajili tu then ukaenda kuifungia ndani kwa miaka minne siku ukiitoa huwezi kuuza kwa bei uliyonunulia kwa sababu zinashuka thamani kulingana na muda iliyosajiliwa. Kwa kiswahili inaitwa depreciation. Kama ni gari yako mwenyewe basi uza hata kwa 7m kama ni dalali basi hata 16m uza maana wajinga hawaishi.