Gari Inauzwa

Gari Inauzwa

mbesa1

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
53
Reaction score
9
Gari aina ya balloon GX 90 inauzwa ni nzima haina tatizo lolote Milioni 3. Kwa mawasiliano 0767377800.
Gari ipo Dodoma mjini.
 
134562
 
Picha zinagoma ila atakayekua nitamtumia hata kwa email ama whassap.
 
Mtu atakuwaje tayari kwa biashara hii wakati taarifa nyingi muhimu umezificha.. Gari ni ya mwaka gani, picha kuonyesha hali ya gari.. Usiuzie watu mbuzi ktk gunia..
 
Ya mwaka 1996
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom