Gari inauzwa

Nimeipenda kama itmkuwepo hadi Feb mwishoni tuwasiliane
 
Peleka kwa mafundi gereji,wapake na rangi kiustadi,halafu lipeleke show room, hapo hata milioni 20 utapata.Magari ya siku hizi bwana,bodi nyanya kabisa,injini ndo usiseme.Tunafirisika watanzania,gari kimuundo linaonekana zuri,ukilinunua miaka minne tu hoi taabani,kila siku mafua na kuwa rafiki wa gereji.Wanajamvi kabla hujanunua gari hebu pata ushauri kwa wajuvi wa magari kwanza.Hilo unalouza litakuwa na kideri tayari.Haya wanajamvi changamkieni pasua kichwa hiyo,vinginevyo jibane uingie show room.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…