gari inauzwa

gari inauzwa

Dennismakoi

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
34
Reaction score
3
gari inauzwa
location ; ARUSHA
imetembea km 80000 tu
ipo kwenye hali nzuri
kwa maelezo zaidi
piga 0712860006
 

Attachments

  • Screenshot_2013-10-08-08-29-06.png
    Screenshot_2013-10-08-08-29-06.png
    380.9 KB · Views: 170
  • Screenshot_2013-10-08-08-29-09.jpg
    Screenshot_2013-10-08-08-29-09.jpg
    151.7 KB · Views: 127
teh teh teh imetembea kilomita ngapi??
mkuu ukitaka kuuza gari now kilomita sio ishu sana coz zinashushwa hizo hata ukitaka uwekewe kilomita zero ni wewe 2.
 
Imetembwa km 80000 tu kaka. Na ipo kwenye good condition kabisa.
 
Mkuu hiyo ni GX-110 bei gani anauza?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mark 2 Grande!! BTH ina miaka mitatu tangia uisajiri unauza kwa sh ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom