B boboo' Senior Member Joined Jun 17, 2013 Posts 193 Reaction score 43 Jul 18, 2013 #1 Toyota Sprinter AE110,inauzwa iko katika hali nzuri sana,bei ni 8m, maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi pm
Toyota Sprinter AE110,inauzwa iko katika hali nzuri sana,bei ni 8m, maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi pm
JakaRoho Member Joined Jun 7, 2013 Posts 40 Reaction score 6 Jul 18, 2013 #2 boboo' said: Toyota Sprinter AE110,inauzwa iko katika hali nzuri sana,bei ni 8m, maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi PM. Click to expand... boboo inaelekea we biashara huijui kabisa,ielezee bidhaa vizuri mfano gari ya mwaka gani,imetembea kilomita ngapi ikibidi weka na picha kabisa kuvutia watu.,kalaga baho
boboo' said: Toyota Sprinter AE110,inauzwa iko katika hali nzuri sana,bei ni 8m, maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi PM. Click to expand... boboo inaelekea we biashara huijui kabisa,ielezee bidhaa vizuri mfano gari ya mwaka gani,imetembea kilomita ngapi ikibidi weka na picha kabisa kuvutia watu.,kalaga baho
B boboo' Senior Member Joined Jun 17, 2013 Posts 193 Reaction score 43 Jul 18, 2013 Thread starter #3 Asante mkuu kwa ushauri mzuri
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 641 Jul 18, 2013 #4 Sprinter kwa 8m???weka picha unaweza kututeka kdg
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jul 18, 2013 #5 Bei kubwa sana kwa aina ya gari hiyo. Anyway weka picha na specifications huenda ina thamani sawa na bei uliyoitaja
Bei kubwa sana kwa aina ya gari hiyo. Anyway weka picha na specifications huenda ina thamani sawa na bei uliyoitaja
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,549 Jul 18, 2013 #6 Ntarudi ukiweka picha...
Mtoka Mbali JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 237 Reaction score 26 Jul 18, 2013 #7 Picha muhimu
B boboo' Senior Member Joined Jun 17, 2013 Posts 193 Reaction score 43 Jul 18, 2013 Thread starter #8 Naweka picha,hii gari ina radio,full ac,haijapata ajari yeyote,injini haijaguswa na magurudumu yapo katika hali nzuri sana.
Naweka picha,hii gari ina radio,full ac,haijapata ajari yeyote,injini haijaguswa na magurudumu yapo katika hali nzuri sana.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,299 Reaction score 13,335 Jul 19, 2013 #9 boboo' said: Naweka picha,hii gari ina radio,full ac,haijapata ajari yeyote,injini haijaguswa na magurudumu yapo katika hali nzuri sana. Click to expand... Hii ndio Picha???
boboo' said: Naweka picha,hii gari ina radio,full ac,haijapata ajari yeyote,injini haijaguswa na magurudumu yapo katika hali nzuri sana. Click to expand... Hii ndio Picha???
M Mbuzi Ndizi Member Joined Jun 27, 2013 Posts 78 Reaction score 23 Jul 19, 2013 #10 Acha upwege unauza mbuzi kwenye gunia.? Weka picha kama hujui omba mtu akusaidie