Mkuu Naomba unielewesha
Gari zenye Number T....ARP registration yake ilikuwa 2009 which mean 38months 60KM per Month kwa mizunguko ya DAr?
Mimi natembea 800km average per months, mkuu kweli inakuja kutembea km60 kwa mwezi?
Vipi iliingia nchini mwaka gani labda tuanzia hapo